WAGONJWA WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI WAPUNGUA HOSPITALI YA RUFAA DODOMA

Na. Wellu Mtaki, Dodoma Daktari Bingwa ya magonjwa ya wanawake katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Dodoma Dr. Enid Chiwanga Amesema kuwa idadi ya wagonjwa wa saratani ya shingo ya kizaziĀ  wanaofika kupata matibabu imepungua ikilinganishwa na miaka michache iliyopita. Ameyasema hayo leo November 14 2022 alipokuwa akifanya mahojiano maalum na Mwandishi wa hahariĀ